Habari bandugu natumai ni kwema.
Kuelekea uchaguzi wa mwaka huu, kama ilivyo ada haki ya kila mtanzania alietimiza miaka18 kupiga kura. Aidha palipo na haki pana wajibu, wajibu wa kila mpiga kura ni kuzingatia taratibu zote za uchaguzi na kumchagua kiongozi anaefaa kulingana na yeye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.