Kilichonishawishi Kujiunga na JamiiForums (JF)
Karibu miaka ya 2016 hadi 2017, kipindi hicho nilikuwa bado nipo shule Nyumbani nilikuwa naaminika kiasi cha kupewa simu kwa ajili ya mawasiliano—simu ya kawaida ya Itel, zile za zamani zenye operamini ndani yake. Simu hiyo ilikuwa na apps kama...