nishati safi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Serikali inahamasisha matumizi ya nishati safi lakini gharama zake zipo juu sana

    Ninaomba kufikisha kero yangu kwa Waziri wa Nishati. Serikali inahamasisha wananchi kutumia nishati safi kama gesi na umeme ili kupunguza matumizi ya mkaa na kulinda mazingira, lakini gharama za nishati hizi bado ni kubwa kwa wananchi wengi. Gesi nayo imekuwa na bei ya juu, mtungi mdogo...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Magari ya umeme ya China yaingia barabarani Tanzania huku magari ya nishati safi yakishika kasi

    Mabadiliko ya Tanzania kuelekea magari ya nishati safi yamepata kasi mpya baada ya kuwasili kwa magari ya kwanza ya umeme aina ya pickup, yanayoendeshwa kwa ushirikiano wa teknolojia na usambazaji wa China. Jenga Taifa Pamoja Auto Limited (JTP Auto), kampuni ya magari ya umeme Tanzania...
  3. JamiiForums Tanzania Wanawake na nishati safi

    PHOTOS BY ME : HAPPY WOMEN'S DAY . Leo tunapoadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, tunatambua mchango mkubwa wa wanawake katika kujenga jamii bora na maendeleo ya taifa letu. Wanawake wamekuwa mstari wa mbele katika familia na jamii, na sasa wana nafasi kubwa pia katika kuhamasisha matumizi ya...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu apongeza TPDC kwa ujenzi wa Shule ya Msingi Likong'o kupitia Mradi wa LNG, akumbusha shule kufungwa miundombinu ya Nishati Safi

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba amepongeza Wizara ya Nishati kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kwa ujenzi wa shule bora ya Awali na Msingi katika Kijiji cha Likong'o mkoani Lindi inayojengwa kupitia mradi wa uzalishaji na usindikaji wa...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluh Hassan Na Nishati Safi

    Rais Samia Suluh Hassan, Afanya Tanzania kama Kitovu cha Nishati Afrika Mashariki Serikali yake imeanzisha mikataba ya kuunganisha gridi na nchi jirani (Kenya, Zambia, Burundi, Uganda). Hii inaiwezesha Tanzania kuuza na kununua umeme—kuifanya iwe kitovu cha biashara ya nishati ukanda wa EAC na...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Dkt.samia Samia Suluhu, Tanzania Nishati safi vijiji

    Mafanikio Makubwa ya serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dr. Samia Suluhu Hassan katika mageuzi bora ya nishati safi ya kupikia kwa wananchi kuanzia mwaka 2021 hadi 2025: Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita (2021-2025) katika Sekta ya Nishati Safi ya Kupikia Chini ya Rais Dr Samia suluhu...
  7. JamiiForums Tanzania Nishati safi kwa Watanzania

    Dkt.samia suluh hassn,kafanya kazi ya Upatikanaji wa Vifaa vya Nishati Safi kwa Wananchi: Kupitia kampeni za kuwahamasisha wananchi kutumia nishati safi, zaidi ya asilimia 75 ya kaya nchini zimeridhia kutumia vifaa vya kupikia vinavyotumia gesi au umeme wa jua kuanzia 2021. Serikali imeweza...
  8. JamiiForums Tanzania Nishati safi kwa watanzania

    Ifikapo 2034 80% ya watanzania watakua wanatumia nidhati safi ya kupikia .asema Raisi wajamhuli ya muungano wa Tanzani Dr Samia suluhu hassan. #Tunmjua.
  9. F

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kampeni ya nishati safi kwa wote na anayosema Polepole kuhusu vitmbulisho vya NIDA

    Ni jambo jema kutumia nishati isiyochafua mazingira na kuumiza watumiaji. Tatizo la wanasiasa wetu kila wanachokipigia debe nyuma yake wanasukumwa na faida binafsi. Watu wanahoji yafuatayo: 1. Kwanini nishati safi suala la matumizi ya gesi linasisitizwa zaidi huku umeme ukiachwa? 2. Kwanini...
  10. JamiiForums Tanzania Kampeni ya Nishati safi ya kupikia yarudisha uoto wa asili Njombe

    Bodi ya Nishita Vijijini (REB) imefurahishwa na kupongeza hatua za baadhi ya Magereza nchini kuanza kurudisha mazingira katika hali yake ya uoto wa asili baada ya magereza hayo kuacha kutumia kuni na mkaa kupikia na kuanza kutumia nishati safi ya kupikia. Pongezi hizo zimetolewa leo Agosti 21...
  11. JamiiForums Tanzania Florian Haule: Nishati safi ya kupikia suluhu kukabiliana na mabadiliko ya Tabia Nchi

    Watanzania wameendelea kuhamasishwa kutumia nishati safi ya kupikia ili kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia nchi. Wito huo umetolewa leo Agosti 18, 2025 Mkoani Rukwa na Mwakilishi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Florian Haule wakati wa ugawaji wa mitungi ya gesi ya...
  12. JamiiForums Tanzania Mjiolojia Nsajigwa Maclean: Tukitumia Nishati Safi Ya Kupikia Tutaokoa Hekta 400,000 Za Misitu Zinazoteketea Kwa Mwaka

    Imeelezwa kuwa matumizi ya nishati isiyo safi ya kupikia si tu yanahatarisha afya bali pia yanachochea uharibifu wa mazingira ambapo takribani hekta 400,000 za misitu hupotea kila mwaka nchini kutokana na ukataji wa miti kwa ajili ya kuni na mkaa, jambo linalochangia kuongezeka kwa ukame na...
  13. JamiiForums Tanzania Mbeya: Wizara ya Nishati yasisitiza matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia ili kulinda afya na mazingira

    Serikali kupitia Wizara ya Nishati imetoa wito kwa wananchi kuachana na matumizi ya nishati isiyo safi ya kupikia na kutumia nishati safi ya kupikia kama vile umeme na gesi ikiwa ni njia pia ya kulinda afya, mazingira na kuimarisha uchumi wa kaya. Wito huo umetolewa leo na Mwakilishi wa...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Hii kampeni ya nishati safi ni fake na ni porojo mwanzo mwisho

    Yaani hii kampeni ya nishati safi ni kampeni hewa ambapo hakuna uhusiano kati ya kelele zinazopigwa na hali halisi. Siioni nia ya serikali kusaidia wananchi zaidi ya hadithi na porojo na propaganda zinazopigwa kwenye vyombo vya habari. Bei ya gas inapanda kila kukicha wakati viongozi wako bize...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya majiko 452,445 yasambazwa bure kuchochea Nishati safi

    RAIS SAMIA NA MAPINDUZI YA NISHATI SAFI. ZAIDI YA MAJIKO 452,445 YASAMBAZWA BURE. LENGO KUPUNGUZA VIFO VYA WA KINA MAMA Rais Samia kwa kutambua kwamba vifo vitokanavyo nishati hafifu ya mkaa na kuni kwa mwaka ni zaidi ya 33,000, au zaidi ya vifo vitokanavyo na UKIMWI nchini, Rais Samia agawa...
  16. JamiiForums Tanzania Dkt. Kazungu: Nishati safi ya kupikia ni ajenda ya Dunia, Wizara inaitekeleza kwa vitendo

    Naibu katibu Mkuu Wizara ya Nishati anayeshughulikia umeme na nishati Jadidifu, Dkt Khatibu Kazungu leo 04 Julai, 2025 amepokea magari mawili yatakayotumika kwa ajili ya kampeni ya kuhamasisha na kutoa elimu kwa wananchi kuhusu matumizi ya nishati safi ya kupikia chini ya kampeni ya nishati safi...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali yazidi kuhamasisha nishati safi, yatoa mitungi 225 kwa watumishi gereza kuu Maweni

    SERIKALI YAZIDI KUHAMASISHA NISHATI SAFI, YATOA MITUNGI 225 KWA WATUMISHI GEREZA KUU MAWENI 📌Shilingi bilioni 35 kupeleka nishati safi magereza yote nchini 📌Mitungi ya gesi 653 kupatiwa watumishi magereza Tanga 📌Mha. Saidy asisitiza uhamasishaji wa matumizi ya nishati safi Serikali kupitia...
  18. JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko: Matumizi ya Nishati safi ya kupikia kufikia 75% mwaka 2030

    MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KUFIKIA 75% MWAKA 2030 - DKT. BITEKO 📌 Dkt. Biteko akutana na Balozi wa Japan nchini 📌 Tanzania na Japan kuendelea kuimarisha ushirikiano wake 📌 Dkt. Biteko aishukuru Japan kufadhili mradi wa umeme Singida Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali yaagiza magereza kupewa ruzuku ya nishati safi ya kupikia

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameilekeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kutoa ruzuku kwa Jeshi la Magereza ili kutekeleza maelekezo ya Serikali kuhusu matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia na kuhakikisha Magereza yote yanaondokana na Nishati isiyo safi.
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mabasi mapya ya Mwendokasi yanayotumia gesi kuwasili Aprili

    Mabasi mapya ya Mwendokasi yanayotumia gesi yatawasili Aprili mwaka huu, lengo ni kuongeza matumizi ya nishati safi. Kampuni ya Mabasi yaendayo Haraka (UDART), imesema kuanzia Aprili mwaka huu watapokea mabasi mapya yanayotumia gesi asilia iliyosindikwa (CNG). Aidha, hatua hiyo ni mkakati wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…