Habari zenu wana mmu!
Binafsi niko poa ila kuna jambo linaniumiza sana akili. Kuhusu hatma ya MAISHA yangu kimahusiano.
Tangu niachane na mke wangu mwaka 2019 sikuwa mtu wa imani na ndoa ila kadri muda unavyozidi kwenda naona maji yanazidi unga.
Katika maandalizi ya kusaka mke nilianza kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.