nimeoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hyrax

    Mimi nimeoa but nina michepuko miwili tu, naombeni mawazo yenu

    Jamani ndugu zangu naombeni mnisaidie mawazo kidogo mimi nimeoa mke mmoja na nina watoto wawili tu but katika pilika pilika za maisha nimejikuta nina michepuko miwili ambayo kiukweli naipenda sana kwanza michepuko yote tumepishana kiumri kama miaka 6 mpaka 10 hivi jambo ambalo kwa mke wangu...
  2. 1academ

    Ameenda kwao kujifungua, sikuwa tayari kuwa baba, namuambiaje nimeoa mwanamke mwingine?

    Nimeoa, kabla ya kuoa nilikua kwenye mahusiano na Dada mmoja ambaye tulikua tunapendana sana, kila kitu tulikua tunafanya mapka kwao alishanitambulisha ingawa kwetua ilikua bado. Mwaka jana mwishoni mimi nayeye tulikubaliana kua na mtoto kisha ndiyo tufunge ndoa ingawa tulikua bado hatujaanza...
  3. N

    Nimeolewa ama nimeoa? Naombeni ushauri

    Habarini jamvini? Naombeni ushauri ndugu zangu mimi ni mwanamke sijui kama nimeolewa ama nimeoa huyu mwanaume yapata miaka 8 sasa toka ameachishwa kazi yupo tu nyumbani hataki kufanya kazi yoyote,akipata kibarua anaenda kama wiki hivi anaacha. Biashara ndogondogo hataki kufanya kabisa,mzigo...
  4. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Japokuwa nimeoa lakini wanawake ndio chanzo cha wanaume kufa mapema kwenye ndoa/familia

    Mabibi na mabwana Habari za uzima wenu!. Wakuu sijaenda kanisani Leo mwaka wa6 sasa bila kukanyaga kanisani. (Haiwahusu) Nina USHAHIDI na mifano mingini sana ya wanaume waliokufa na chanzo wakiwa wake zao! Hapa nitajikita na mifano 2 ama mitatu kama nitaweza kuandika hapahapa maana sipendi...
  5. Mjina Mrefu

    Nimeoa ila natamani sana wanawake wengine

    Wakuu kwema? Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza. Mimi nimeoa, mke mzuri na mrembo hasa. Ila cha kushangaza, ktk kipindi cha miezi miwili hivi, nimejikuta natamani sana pisi za pembeni, hata kama hazina urembo kumzidi mama watoto. Huu ni ugonjwa au nini wakuu? Maana hadi wake za watu...
  6. P

    USHAURI: Mke wangu anamatumizi makubwa ya fedha yanayosababisha tuwe tunagombana sana

    Mimi nimeoa na naishi ya familia yangu, wote tumeajiriwa ila wife ndiye aliyenifuata mahali ninafanyia kazi. Tumegombana na huwa tunagombana mara Kwa mara shida kubwa mwenzangu Huwa anamatumizi makubwa kuzidi kipato chetu. Na mara nyingi nimekuwa nikimwelewesha anakuwa mbishi mpaka anakopa...
Back
Top Bottom