nicodemus maganga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    Video: Tujikumbushe Mbunge Maganga alivyokosa aibu na kutaka wabunge waongezewe mishahara na kuanza kulipwa kwa dola!

    Wakuu, Posho 620,000 kwa siku mshahara 18,000,000 still wanasema pesa ndogo na bado wanataka walipwe kwa dollars kweli alieshiba hamuoni mwenye njaa Wakienda majimboni hakuna Kazi wanayofanya miundombinu ni mibovu, ajira hakuna tozo na kodi kubwa kila siku tunagombana na kina mangi madukani...
  2. Waufukweni

    PreGE2025 Mbunge Maganga: Bora niwe Chawa kwa Rais ili Wananchi wapone

    Mbunge wa Jimbo la Mbogwe, Nicodemus Maganga, amesema yuko tayari kuwa "chawa kwa Rais" ili kuhakikisha wananchi wake wanapata huduma muhimu za afya, elimu, maji na barabara. Kauli hiyo ameitoa wakati akizungumza na wakazi wa Kata ya Nanda kwenye mkutano wa hadhara, ambapo amekiri kuwa eneo...
  3. McLaren

    PreGE2025 Mbunge wa Mbogwe Nicodemus Maganga: Wasimamizi wa Uchaguzi kama kura zangu hazikutosha msiongeze, tangazeni kama zilivyo

    Wakati joto la uchaguzi likianza kupamba moto, Mbunge wa Mbogwe, Nicodemus Maganga amewataka wasimamizi wa uchaguzi kutenda haki ili watoe matokeo sahihi bila kuongeza kura wala kupunguza. Mbunge huyo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amesema mgombea akipewa kura sahihi kwenye uchaguzi...
  4. ChoiceVariable

    PreGE2025 Mbunge wa Mbogwe asema akishindwa Uchaguzi asiongezewe Kura Feki na akishinda atangazwe kwa Haki

    Wakati joto la uchaguzi likianza kupamba moto, Mbunge wa Mbogwe, Nicodemus Maganga amewataka wasimamizi wa uchaguzi kutenda haki ili watoe matokeo sahihi bila kuongeza kura wala kupunguza. Mbunge huyo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amesema mgombea akipewa kura sahihi kwenye uchaguzi...
  5. Chachu Ombara

    PreGE2025 Mbunge wa Mbogwe: Huu mwaka wa uchaguzi, bora tuhukumiane wenyewe kabla ya kuhukumiwa na wananchi

    Mbunge wa Mbogwe Nicodemus Maganga amebainisha kuwa watumishi wa serikali wanatakiwa kufanya kazi kulingana na matakwa ya kazi zao ili kutowaingiza wabunge katika wakati mgumu . Amesema kumekuwa na watumishi wasio tenda haki na wajibu wao kutokana na utekelezaji kufanyika kwa asilimia 50 huku...
Back
Top Bottom