nguvu za kiroho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The redemeer

    Nguvu ya kucha na nywele katika ulimwengu wa kichawi

    📣📣📣📣📣📣📣📣 Nguvu ya kucha na nywele katika ulimwengu wa kichawi 🗣️Leo nimeona ni vyema niwaletee makala hii fupi kuhusiana na kucha na nywele zinavyo husika katika ulimwengu wa kichawi ulimwengu huu ni mpana sana, basi bila kupoteza wakati twende sawa. 👉Nywele na kucha zinaaminika kuwa na nguvu...
  2. The redemeer

    Je nguvu za kiroho kupitia imani ni kweli zinafanya kazi ya kuvuta pesa

    Swali lako ni muhimu sana — linagusa kiini cha imani, mazoea ya kiroho, na mafanikio ya kimwili. Jibu linaweza kutegemea mtazamo wa mtu binafsi, lakini hapa kuna maelezo ya pande zote mbili: 1. Nguvu za Kiroho na Kuvuta Pesa – Ndiyo, Inaweza Kufanya Kazi (kwa walioamini na wanaofanya kwa...
  3. The redemeer

    Jinsi ya kuachilia nguvu za kiroho ndani mwako wakati unapitia magumu.

    Mwanadamu ana nguvu mbili ya ndani na ya nje . Mwanadamu ameumbwa akiwa kamili au kwa mfano wa Mungu, uungu u ndani mwake,hivyo haitaji nguvu toka nje ili aweze kujiendesha labda tu kwa asiyeelewa jinsi ya uuungu ndani mwake unafanyaje kazi,kila kitu kimo ndani mwako uhitaji mganga,nabii wala...
  4. Nikola24

    Natamani shuleni tungekuwa tunafundishwa teknolojia ya nguvu za giza na kiroho

    Habari yenu ndugu na jamaa zangu ! Kwanza ninge elezea kuwa hiki nilicho andika hapa sio hadithi ya kufikirika bali ni mambo halisi yaliyopo mitaani na kwenye yetu. Kwanza nianze na historia Fupi ya maisha yangu shuleni. Nisingependa kutaja jina langu ,ila kwa ufupi nilianza shule ya msingi...
Back
Top Bottom