ngono salama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ngono salama hurefusha umri wa kuishi na kuimarisha afya ya mwili

    Kufanya ngono salama na yenye upendo huongeza maisha ya binadamu badala ya kuyafupisha, kwani tendo hili huboresha afya ya mwili na roho kwa wakati mmoja. Kisayansi, watu wanaoshiriki tendo la ndoa mara kwa mara hupunguza hatari ya kufa mapema kwa asilimia 50 kutokana na . kuimarika kwa afya...
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Tumieni Kinga wandugu

    Habari za muda huu Wana JF Leo katika kukaazangu bila ya kazi nikamua bana kumcheki mpenzi wangu nakumuelezea Hali ya afya yangu ili kumpima atanichukuliaje? Chatting zikawa kama hivi: Mimi-Maishayangu siyaelewi wangu Binti-kivipi mbona bila Salam Mimi- Haina hata haja ya Salam sijui ntaishi...
  3. JamiiForums Tanzania Ngono salama sio kuvaa condom tu. Kumbuka condom itaulinda mwili wako lakini kamwe haiwezi kuilinda roho yako dhidi ya roho na nyota

    Ngono salama sio kuvaa condom tu. Kumbuka condom itaulinda mwili wako lakini kamwe haiwezi kuilinda roho yako dhidi ya roho na nyota mnazobadilishana mnapofanya ngono. Kabla hujafanya ngono ni muhimu ukumbuke kuwa kila tendo la ngono mnabadilishana roho na nyota zenu. Kama sio muhimu usiuze au...
  4. JamiiForums Tanzania Natokwa na usaha kwenye mkojo baada ya kufanya mapenzi. Inaweza kuwa dalili ya ugonjwa gani?

    Wakuu, Juzi nilicheza mechi ila nilisahau kununua kondomu aisee na leo nlikuwa na mpango baadae ila nimetoa wakati wa kukojoa nimeona kama kuna chembe za usaha kwenye njia ya mkojo. Hii inaweza kuwa nini wakuu?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…