Kingunge Ngombale–Mwiru (30 May 1930) – 2 February 2018 was a Tanzanian politician.
Kingunge was a leader in the Tanganyika African National Union (TANU).
Kingunge was not religious, although he respected all religions. He was known for taking oaths without using any holy book, such as the Bible or the Quran. Instead, he would take the oaths for his governmental positions by using the Tanzanian Constitution.
Mgombea Urais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Kunje Ngombale Mwiru AAFP ameendelea na kampeni katika Mkoa wa Tabora ndani ya Wilaya ya Nzega.
Mgombea Urais huyo wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kunje Ngombale Mwiru amewavaa wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya ambao wanatishia wananchi...
Mgombea Urais wa Chama cha Wakulima (AAFP), Kunje Ngombale Mwiru, amesema baada ya takribani siku 40 za kampeni, anadhani katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, kuna uwezekano wa kushinda kwa asilimia 75.
Kauli hii aliitoa mkoani Dar es Salaam katika mkutano na waandishi wa habari.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.