We Are So Primitive
Mtu asome kitu ambacho kitamsaidia na kumpa ujuzi
Ndio maana Watu wanalalamika Ajira hamna wakati Ilitakiwa upate elimu ambayo itakufanya ujiajiri
Mfano mtu anatoka anakuja kuanzisha kiwanda au kampuni
Ni watu wangapi walivyokuwa wadogo walikuwa wanandoto kubwa ila...