Habari zenu, nakuja tena wataalam mnaoweza kunisaidia, sitaki kuwachosha sana, kama kichwa cha habari, nimekuwa nikiota tena sana lakini nikiamka sikumbuki hata kitu kimoja nilichoota nimefuatilia nimeambiwa hivyo ni vifungo fanya kutafuta mtu ufungue haraka sana, nimeamini ni kweli maana hadi...