ndoa hapana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Think2

    Haya mambo ya ndoa hapana aisee anakununia siku nzima afu asubuhi unatakiwa umuachie matumizi

    Mke anakununia siku nzima yaani hataki kuongea na wewe kabisa afu asubuhi niache matumizi wakati ameninunia
  2. Mr Beach Boy

    Mke wa mtu ila yupo tayari kutoka nje ya ndoa, kataa ndoa mna point 3 za ushindi

    Huyu ni mke wa mtu, nimefanya kumtania tu ila tayari ameingia kwenye kumi na nane. Binafsi ntachelewa sana kuoa kama wanawake wenyewe ndio hawa...
  3. dr namugari

    Mzazi wangu amekogoma kupokea posa ya mwanaume wa kiislamu

    Baba yangu mdogo Jana aliniita na kunieleza jinsi anavyoumia kwa kile mdogo wetu amekifanya kwa kutuleteaa mwanaume wa kislamu amuoe wakati sisi ni wakristo. Mzee anasema hivi wanaume wameisha kiasi kwamba hadi aolewe na Waisilamu? kweli mdogo wetu ni mzuri sana, amesoma hadi chuo kikuu Sasa...
  4. sakwano

    Ndoa hapana! Sitaki

    Nilikwenda kuchumbia mahali fulani...majibu yakatoka nikaambiwa nipeleke milioni mbili..,nimejitafakari aisee ni hapana sijajua wazazi wa Binti watanifikiria vipi ...ila watanisamehe tu. Kwanza naenda kumnunua mtu...pesa inatoka hapo,pili natakiwa niwe namhudumia kwa kila kitu nikiwa naye nayo...
Back
Top Bottom