Mchekeshaji, muigizaji, na content creator, Ndaro , kupitia Instagram yake ametoa ya moyoni na kueleza masikitiko yake kwa njia ya utani kuhusu mabadiliko ya kimtindo ya msanii wa Bongo Fleva, Marioo.
Ndaro amelalamika kuwa Marioo ameacha kuachia nyimbo za simanzi za mapenzi ambazo zilikuwa...