nchini ukraine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Mgombea wa Urais nchini Ukraine aliponusurika kuuawa kwa sumu mwaka 2004

    Huyu ni mgombea urais wa Ukraine, Viktor Yushchenko, ambaye sura yake ilibadilika sana baada ya kupewa sumu mwaka 2004, alipokuwa kwenye kampeni za uchaguzi. Yushchenko alipanga kukutana na Igor Smeshka na Volodymyr Satsyuk, ambao walikuwa mkuu na naibu mkuu wa Shirika la Usalama la Ukraine, ili...
  2. JamiiForums Ufahamu mji asioishi binadamu yoyote nchini Ukraine

    Pripyat, Ukraine ni mji ulioko kaskazini mwa Ukraine, karibu na mpaka wa Belarus, ulioundwa rasmi mwaka 1970 kwa ajili ya kuwahudumia wafanyakazi wa Kiwanda cha Nyuklia cha Chernobyl. Mji huu ulijengwa kama mfano wa maendeleo ya kisasa ya Kisovyeti, ukiwa na shule, hospitali, ukumbi wa sinema...
  3. JamiiForums Marekani: Donald Trump aipa Urusi siku 50 kumaliza Vita nchini Ukraine

    Rais wa Marekani Donald Trump, ambaye kwa mara nyingine ameonyesha kusikitishwa kwake kutokana na tabia ya mwenzake wa Urusi Vladimir Putin mnamo Jumatatu, Julai 14, ameipa Urusi siku 50 kumaliza vita la sivyo itakabiliwa na vikwazo vikali, na akatangaza kukaribia kusafirisha idadi kubwa ya...
  4. JamiiForums Urusi yafanya mashambulizi makubwa ya anga nchini Ukraine

    Urusi imeendesha wimbi kubwa la mashambulizi ya anga dhidi ya Ukraine usiku wa kuamkia Jumapili na kusababisha kifo cha mtu mmoja huku wengine saba wakijeruhiwa. ayo yameelezwa leo na mamlaka za Ukraine zilizobaini kuwa aliyeuawa ni rubani wa ndege ya kivita chapa F-16. Yuriy Ihnat, mkuu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…