nchi za sadc

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Balozi CP Kaganda aungana na nchi za SADC kuadhimisha Siku ya Ukombozi Kusini mwa Afrika

    Nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) zimeadhimisha Siku ya Ukombozi ya Kusini mwa Afrika kwa shughuli mbalimbali zilizofanyika jijini Harare, Zimbabwe zikiwa na lengo la kuenzi historia ya harakati za ukombozi na kuhamasisha uhifadhi wa urithi wa kihistoria...
  2. Ronald Lamola: Siasa za Ulimwengu zinaathiri nchi za SADC

    Hali ya sasa ya siasa za ulimwengu na vita zinazoendelea Mashariki ya kati, imesababisha madhara makubwa ulimwenguni ikiwemo kwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), na huo ni ujumbe tosha kwa nchi zetu kuchukua hatua Madhubuti za pamoja kujinasua. Kauli hiyo imetolewa na...
  3. Exports za Tanzania kwa nchi za SADC zaongezeka kwa zaidi ya mara mbili kwa kipindi cha miaka minne

    Mauzo ya Tanzania katika Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) yameongezeka mara mbili kati ya mwaka 2021 na 2024, yakichochewa na maboresho ya miundombinu ya biashara, juhudi za kiserikali katika kukuza biashara, ujumuishaji wa kikanda, na upanuzi wa wigo wa bidhaa zinazouzwa nje...
  4. Nchi za SADC zahimizwa kutunza na kulinda amani

    Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Samwel Shelukindo amesema kuwa licha ya changamoto za kisiasa, uhalifu unaovuka mipaka na matatizo ya kiuchumi kwa jamii ambayo yanaendelea kutafutiwa ufumbuzi, bado Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika...
  5. Rais Samia kuelekea Zimbabwe kushiriki Mkutano wa dharura wa SADC kujadili Usalama DRC

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kusafiri kuelekea Harare, Zimbabwe kesho tarehe 31 Januari, 2025 kwa ziara ya kikazi ya siku moja. Akiwa nchini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…