“Rais Samia Kumteua Mtoto wake (Wanu Hafidh Ameir) Kuwa Naibu Waziri imekuwa Nongwa kila siku Mnasema Mtandaoni, Eti Nchi imeuzwa, Hivi kweli mkimuangalia Abdul na wema wake ule anavaa Sandal na Kanzu atauza Nchi yetu.?, Walisema hivyo hivyo wakati wa Ridhiwani” Abubakar Asenga, Mbunge wa...
Siku hizi CCM haisikilizi tena mawazo ya wananchi, wajumbe wanachagua watu wao wanaowataka ili wawaongoze alafu CCM inakuja inawatoa na kuwaweka watu wao ambao tayari walishakuwa wamepanga kuwaweka.
Hii hali inaondoa maana ya kuwepo kwa mchakato wa wajumbe kuwapendekeza watu wao. Kama CCM...
Polepole sio pole tena, usiku huhuu tayari kashawalipua CCM na mume wao Rostam Azizi.
Utajiri wa nchi anakabidhiwa Rostam alafu utamskia mama anasema analinda mali za nchi kwa maslahi mapana ya umma, Polepole anauliza maslahi gani hayo mapana?
Leo katukumbusha tena kuwa tumeuzwa tumepigwa bei...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.