nbc premier league

The Premier League on NBC and Premier League on NBCSN is the blanket title for broadcasts of the Premier League by the networks of NBC Sports. NBC acquired rights to the Premier League in 2013, and reached a six-year extension in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. Yanga wanakuacha ukamie, wanakupiga kimoko hao wanasepa na alama zao tatu

    Utulivu, Malengo na Focus za wachezaji wa Yanga ni wa hali ya juu sana. Kuna namna naona hii timu safari hii haijadhamiria sana taji la Ligi (japo hii inatokea tu automatically kutokana na ubora alio nao) Ila malengo hasa ni katika Ligi ya mabingwa barani Afrika. Hii inathibitishwa na aina ya...
  2. Yanga Malizana nao mapema la sivyo dozi inakuhusu

    MALIZANA NAO MAPEMA Ili uwafunge Yanga wafunge mabao zaidi ya moja kipindi cha kwanza, ili wakirudi wawe na mlima wa kusawazisha na kutafuta ushindi...yaan MALIZANA NAO MAPEMA. Half time talk Yanga wanajua namna ya kubadili timu, wanarudi kitofauti sana. Kama ni kupoteza, siku yao ilikuwa...
  3. FT: Singida BS 0-1 Young Africans SC | NBC Premier League | New Amaan Complex | 30.10.2024

    ⚽️ Singida BSπŸ†šYoung Africans SC πŸ“† 30.10.2024 🏟 New Amaan Complex πŸ•– 8:30 PM Kikosi kinachoanza dhidi ya Singida Black Stars Sc Mpira umeanza Dakika ya 2 Sbs 0- 0 yng Dakika ya 3 Boka amefanyiwa madhambi Dakika 6 Mabadiliko katoka boka kaingia kibabage Dakika ya 15 Yanga wanafanya...
  4. Siku hizi Ligi za Ulaya hazina watazamaji wengi huku kwenye vibanda umiza

    Baada ya Azam tv kuamua kuonyesha kila mechi ya Ligi Kuu ya NBC kwasasa Vibanda umiza vinajaza zaidi mechi za ligi ya NBC kuliko zile za Ulaya. Mechi za Ulaya huko siku hizi hazina watazamaji wengi huku vibandani. Coastal Union vs Yanga inaweza ikajaza ukumbi halafu huku Arsenal Vs Liverpool...
  5. FT: Simba SC 3-0 Namungo FC | NBC Premier League | KMC Complex | 25.10.2024

    #nguvumoja#... UPDATES... VIKOSI VINAVYOANZA LEO. updates... DK 5' Simba wanapata goli safi la kuongoza kupitia kwa Shomari Kapombe. 1-0 DK 10' Game On Simba wanamiliki ball kwa kasi kali 1-0 DK 14' Simba wanapata free kick nje. kidogo ya lango la Namungo FC. Anaipiga Joshua Mutale...
  6. Full Time Tanzania Prisons 0 - 1 Simba SC | NBC Premierleague | Sokoine Mbeya | Oktoba 22, 2024

    Baada ya kutoka kuchapika dhidi ya mtani wake leo Simba SC anakibarua kizito mbele ya wanajelajela Tanzania Prisons Tanzania Prisons VS Simba SC | NBC Premierleague | Sokoine Mbeya | Oktoba 22, 2024 4:00 PM Dakika, 5 Simba wanapata goli la kuongoza Dakika,13 Simba wamekuwa na umiliki mzuri...
  7. M

    Ramadhan Kayoko ndiye mwamuzi mbovu katika NBC Premier League! Freekick uliyowazawadia Yanga imeigharimu Simba

    Yaani baada ya kuona TFF imemchagua Kayoko kuwa mwamuzi katika mechi ya Derby ya Kariakoo moja kwa moja nikajua Simba hashindi mechi hii. Yaani kila nikirejea picha za tukio ambalo ameizawadia Yanga freekick sioni kosa alilolifanya Okejepha. Na baada ya kuona Chama ameingia na anaenda kupiga...
  8. FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024

    Kariakoo Derby! Simba Vs Yanga, mchezo wa kukata na shoka. Je, Simba atafuta Uteja wa kufungwa na Yanga mfululizo? Kwa LigiKuu msimu huu, Simba imecheza michezo 5 ikikusanya alama 13 na Yanga michezo 4 ikikusanya alama 12. Katika siku hizi za karibuni Yanga imeonekana kupata matokeo Chanya...
  9. FT: Simba SC 2-2 Costal Union | NBC Premier League | KMC Complex | 4 Octoba, 2024

    Simba SC VS Costal Union | NBC Premier League | KMC Complex | 4 Octoba, 2024 Mechi itachezwa uwanja wa KMC Complex saa 10: 15 Jioni
  10. FT: Yanga SC 4-0 Pamba jiji SC | NBC Premier League | Azam Complex | Octoba 03, 2024

    πŸ”°ππ„π—π“ πŒπ€π“π‚π‡πŸ”° πŸ† #NBCPremierLeague ⚽️ Young Africans SCπŸ†šPamba Jiji FC πŸ“† 03.10.2024 🏟 Azam Complex πŸ•– 6:30PM(EAT) Kikosi kinachoanza dhidi ya Pamba Jiji FC Mpira umeanza Dakika ya 5 Goal Baccaaaaaaaaaaa Dakika 7 Tunashambulia kwa kasi Dakika ya 12 Yanga SC wanapata Kona Dakika ya 14 Tunapata...
  11. D

    Kwa hawa Marefa ni upuuzi kuangalia NBC Premier League

    I will be short Marefa wanakuja na matokeo yao kutoka nyumbani, every match ni same story, ukimtoa Alajiga, wengine wote wezi tu. Karia kazuia VAR eti watu wajifunze kwanza, in reality anataka kuitumia kampeni ya TFF, VAR zipo mbili hapa Tz. Ila board ya ligi ipo kimya, reasons wanatoa za...
  12. FT: Mashujaa FC 0-0 Azam FC | NBC Premier League | Lake Tanganyika Stadium | 29.09.2024

    Match Day Mashujaa Fc πŸ†š Azam Fc πŸ† #NBCPremierLeague πŸ•“ Saa 10:15 Jioni πŸ—“οΈ 29.09.2024 🏟️ Lake Tanganyika Nb: Tutawakumbusha kazi wanayoweza kuifanya tofauti na kabumbu🍦🦍 Mashujaa ndio sisi. KIKOSI CHETU KINACHOANZA. KIKOSI CHAO KINACHOANZA LEO. Updates... Dakika 10' 0-0 HALFTIME...
  13. FT: Yanga SC 1-0 KMC FC | NBC Premier League | Azam Complex | September 29, 2024

    Match Day πŸ† #NBCPremierLeague ⚽️ Young Africans SCπŸ†šKMC FC πŸ“† 29.09.2024 ⏰ 2100hrs 🏟 Azam Complex #Daimambelenyumamwiko# KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA LEO. KIKOSI CHA KMC UPDATES.... 04' Yanga wanapata Goli kupitia kwa Max Mpia Nzengeli 1-0 19' Yanga wanapata kona ya kwanza. Inaanzwa kona...
  14. FT: Dodoma Jiji FC 0 - 1 Simba SC | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 29.09.2024

    Another game, Mzunguko wa Nne. Dodoma Jiji wanaikaribisha Simba SC ya Dar es sala Uwanja wa Jamhuri, Jijini Dodoma. Kikosi cha Dodoma Jiji Kinachoanza. Kikosi cha Simba Kitakachoanza #nguvumoja# Ushindi mwingine ugenini. Updates za Mchezo Kipindi cha Kwanza. ===========================...
  15. TFF tulisema kuwa Mechi za NBC Premier League kamwe haziwezi Kuchezewa Zanzibar imekuwaje Azam na Simba wanachezea Zanzibar?

    Ni sababu ipi tu iliyokubalika leo na kipindi kile Simba SC ilipotaka Kucheza huko Mechi za Ligi Kuu ya NBC ikakataliwa?
  16. FT: Ken Gold 0-1 Yanga | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 25.09.2024

    πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡ πƒπ€π˜πŸ”° πŸ† #NBCPremierLeague ⚽️ KEN GOLD vs YANGA Sc saa 10 kamili jioni Kikosi kinachoanza dhidi ya Ken Gold SCπŸ”°πŸ’ͺ🏽 Mpira umeanza Dakika ya 2 boka anakosa nafasi ya wazi Dakika ya 3 Max anafanyiwa madhambi Dakika ya 6 Ken 0-0 yng Dakika ya 10 Max anafanyiwa madhambi Dakika 12 Goal...
  17. Naona league ya NBC inahamia visiwani Mzizima Dabi kupigwa huko

    Mzizima derby kupigwa Zanzibar wakati viwanja vipo nadhani hata mechi zingine kubwa kama derby ya kariakoo itapelekwa mwanakwerekwe na hatimae Sasa league ya NBC inahamia Zanzibar Tujipange na ndondo za shafii
  18. Almas Kasongo: Mashindano ya CHAN yatavuruga ratiba ya Ligi NBC na mashindano mengi

    Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi, Almas Kasongo amesema kuwa michuano ya CHAN itapangua ratiba ya Ligi NBC na mashindano mengi hivyo maofisa wa ligi tangu jana wameanza kukaa kwa ajili ya kufanya mabadiliko ya ratiba ili kwenda sawa na ushiriki wa mashindano ya CHAN. β€œTumepokea hiyo ratiba ya Chan...
  19. Oscar Oscar: Singida Black Stars watakuwa mabingwa NBC Premier League

    Baada ya Singida Black Stars kuwa na mwanzo mzuri katika NBC PL, mpiga porojo kutokea Wasafi Media, Oscar Oscar ameipa nafasi timu hiyo kutwaa ubingwa wa NBC PL mbele ya Yanga, Simba na Azam.
  20. FT: Kagera sugar FC 0-2 Yanga SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 29.08.2024

    πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡ πƒπ€π˜πŸ”° πŸ† #NBCPremierLeague ⚽️ Kagera sugar FCπŸ†šYanga Sc saa 11 kamili jioni Kikosi kinachoanza dhidi ya Kagera Sugar#TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko mpira umeanza dakika ya 5 dube anakosa goli la wazi dakika ya 10 kagera sugar 0-0 yanga sc dakika ya 19 dube anakosa goli la wazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…