Kuna msemo wa Kiswahili unaosema "Ukimkimbiza sana mjusi hugeuka kua nyoka na kukuuma"
Viongozi wa upinzani piganieni haki yenu ya Kikatiba kwa sasa. Ambayo ni kufanya mikutano ya hadhara hiyo ipo wazi. Simamieni hapo Katiba imewaruhusu na Mama hawezi kuzuia hilo. Anapaswa kuheshimu Katiba...