nauza kiwanja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Plot4Sale Nauza kiwanja changu mimi mwenyewe.Nina dharura bei nzuri sana.Hakina Udalali

    Kiwanja kipo kigamboni kisarawe 2 Km 1 kutoka barabara kuu. ukubwa ni 20 kwa 20 Kipo eneo zuri linaloanza kuendelea Bei ni milioni 5 (mazungumzo yapo) Hakuna dalali ni changu mwenyewe. Ukihitaji maelezo zaidi mawasiliano haya hapa ya mmiliki +255659252713
  2. A

    Plot4Sale Nauza kiwanja changu, Mapinga karibu na Eplas

    NAUZA KIWANJA CHANGU 📍Site located at Amani Mapinga Near EPLAS RECREATION 🧵Umbali: 👉 5 km kutoka Bunju 👉1.8 km kutoka Bagamoyo Road 👉2 km kutoka Baharini.(PLOT NEAR BEACH) • Kiwanja kinagusa barabara kubwa ya mtaa • Kiwanja kina nyumba ndogo ndani yake yenye vyumba viwili na sebule • Pia...
  3. C

    Nauza kiwanja kibaha kwa Mfipa mil. 1.5

    NIMEKWAMA NAUZA ENEO LANGU KIBAHA KWA MFIPA. LIKO SEHEMU NZURI HUDUMA MUHIMU ZIPO. NGUZO MBILI ZA UMEME MPAKA SAITI. MCHANGA UKO HAPO HAPO TOFARI MAPAKA SITE TSH. 750 MAJI YAPO JIRANI TUPO KWENYE MCHAKATO WA KUYAINGIZA KUTOKA MAIN ROAD KM. 1.5 Square mita 300 Bado sijapata mteja sahihi. NATAKA...
  4. Plot4Sale Nauza kiwanja changu Tsh 1,500,000

    Nauza kiwanja changu niki kizuri kipo Iringa mjini maeneo ya Tagamenda karibu na shule ya secondary Tagamenda Ni kilomita chache kutoka ipogolo stand Hatua 28 kwa 20 Bei Tsh 1,500,000 Haipungui Piga 0759500807 Karibuni Hichi hapa kwa picha Huu ndio mtaa kilichopo kiwanja barabara...
  5. N

    Plot4Sale Nauza kiwanja Kibaha kwa Mfipa

    Habari Nauza kiwanja changu ambacho unaweza jenga nyumba ya makazi chenye ukubwa wa miguu 20 kwa 19 maeneo ya Kibaha kwa Mfipa. Tshs 5,000,000. Kutoka Kwa Mfipa stand hadi kwenye Kiwanja kwa pikipiki ni mwendo wa dakika 7-10 na kwa miguu ni mwendo wa dakika 20-25, kipo upande wa kushoto ukiwa...
  6. S

    Plot4Sale Nauza kiwanja Goba

    Ninauza kiwanja changu kipo Goba Kulangwa kina ukubwa wa mita 15 kwa mita 30. Bei ni milioni 14 Nyaraka Serikali za mitaa. Huduma zote za kijamii zipo 0762282526
  7. Nauza kiwanja changu Arusha mjini kwa Tsh 7.5 milioni

    Kiwanja ni changu mwenyewe na kina ukubwa wa 520 SQM. Kipo Engosheraton kata ya Sinoni. Jirani kabisa na Shule ya Sekondari ya Misheni ya Edmund Rice. Kiwanja kimezungukwa na Huduma zote za kijamii. Wasiliana nami kwa 0744718928. karibuni sana.
  8. Plot4Sale Nauza kiwanja Changu Magomeni Mtwara

    Salama wakuu? Nauza kiwanja Mtwara Mjini bei 6Milioni. -Kipo magomeni, 1 km kutoka stendi kuu ya mabasi Mtwara. -kuna banda watu wanakaa -kipo jirani na chuo cha afya COTC -Kimepimwa sqm 317 na hati ya wizara ninayo. -Tambalale,barabara,umeme na maji vipo hapo hapo. Mawasiliano 0769476225
  9. K

    Plot4Sale Nauza kiwanja kwa Tsh. Milioni 3

    Salam wakuu, Nauza kiwanja chenye urefu wa mita 35 na upana mita 20. Kimepimwa(surveyed) Bei ni Tsh. Milioni 3 Plot number 594 Location: Morogoro, Mkundi. Mawasialiano zaidi: WhatsApp number 0742666736
  10. Nauza kiwanja bandari kavu kwala

    Kiwanja kipo karibu na mnada wa mifugo na bandari ya kwala Ukubwa mita 64 x70 Bei milioni 3.5 Contact 0678804442 Eneo ni langu sihitaji dalali
  11. Nauza kiwanja Bunju A, Dar es salaam

    kiwanja kiko Bunju A, Kinondo. Mpakani mwa Madale na Mbopo ukubwa ni hatua 22 kwa 25 dakika 10 kwa Boda kutoka Bunju Shuleni Kimehakikiwa na namba ya uhakiki ipo (hati bado) Kinafikika kwa namna zote: miguu, pikipiki, baisikeli au Gari eneo limejengeka sana 6,500,000Tsh tu za Kitanzania...
  12. M

    Plot4Sale Nauza kiwanja kipo Chalinze

    Nauza kiwanja changu Chalinze mjini bei milioni mbili na nusu kipo kudiyembe umeme hauitaji jengo nikuvuta waya tu ukubwa wa kiwanja 20*19 mawasiliano 0656660026.
  13. M

    Plot4Sale Nauza kiwanja Kigamboni Kibada 972 sqm Tzs. 25m

    Kiwanja kipo 2Kms kutoka KIBADA kuingia barabara ya mtaani Tayari kumejengeka na nyumba za kifahari Eneo: 972 Sqm (Pameshapimwa na mawe tayari yameshawekwa) Nyaraka: Mauziano ya Serikali ya mtaa Bei: TZS. 25m Mawasiliano: 0717 650800
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…