Tangazo la kuwepo kwa nafazi za kazi ya ulinzi, mahali ni Kusini Unguja Bwejuu Zanzibar, wanatakiwa vijana 25 wake kwa waume, raia wa Tanzaia , wenye namba za nida, waliopita mafunzo ya JKT au mgambo urefu ni futi 5.8 na kendelea, wenye simu janja zenye version ya android kuanzia 10, aidha...