nafasi ya kujitolea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Walter Rodney

    Natafuta Nafasi ya kujitolea

    Habari za humu wakuu,,Mimi ni muhitimu wa shahada ya Taaluma ya Maendeleo (BA-DS) kutoka University of Dodoma mwaka 2022. Lengo la kuandika huu uzi ni kuomba connection ya nafasi kujitolea kwenye Taasisi za serikali au Taasisi binafsi,itakuwa vizuri ikiwa mkoa wa Mbeya hasa mbeya mjini...
  2. 4

    Natafuta nafasi ya kujitolea diploma in clinical optometry mahali popote

    Natafuta nafasi ya kujitolea diploma in clinical optometry mahali popote
  3. Kazanazo

    Namtafutia kazi au nafasi ya kujitolea mdogo wangu

    Habari wanajf, Nina mdogo wangu kahitimu chuo kikuu kada ualimu masomo English na Kiswahili anaishi Dar es Salaam na Tanga Hivyo basi kama kuna mwenye connection ya shule yoyote ya private katika mikoa hiyo naomba msaada wa kuniunganisha mdogo wangu apate nafasi ya kufundisha. Kuhusu level ya...
  4. Jipatie Siagi ya karanga

    Wamiliki wa shule, naomba nafasi ya kujitolea

    Habari wakuu. Nipo DSM kwa sasa nahitaji Shule kwa ajili ya kujitolea. Nina uwezo wa kufundisha masomo yafuatayo; English Civics Kiswahili. Elimu yangu ni Degree Hivyo natafuta Shule ya kujutolea kwa sasa hivi. Call 0658124288.
  5. Isayamoh

    Natafuta nafasi ya kujitolea au kuajiriwa

    Wakuu habari natafuta nafasi ya kujitolea katika kampuni yoyote au biashara yoyote inayoweza nipatia uzoefu wa kazi natafuta uzoefu katika fani ya Kodi au uhasibu. Nipo mbeya nina shahada ya usimamizi wa Kodi (bachelor of science in tax management Mawasiliano: fadhirimwakaselo@gmail.com...
Back
Top Bottom