Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, ameeleza kuwa mchakato wa maridhiano ya kitaifa haupaswi kutumika kama kinga ya kukwepa uwajibikaji wa kisheria kwa wale waliohusika katika uhalifu.
Katika mahojiano maalumu na gazeti Mwananchi, Wasira amepinga vikali dhana ya...