CCM KUFADHILI KITABU CHA MZEE SONGAMBELE KUENZI HISTORIA YA NCHI, CHAMA NA SERIKALI
- Balozi Nchimbi atoa neno, akimwakilisha Dkt. Samia msibani
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema kitabu alichoandika Alhaj Mzee Mohamed Mustafa Songambele...
Alhaj Mustafa Songambele(aliyelala) akiwa na Waziri Simbachawene
Mwanasiasa mkongwe na miongoni mwa wapigania uhuru wa Tanganyika, Alhaj Mustafa Mohamed Songambele, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo jijini Dar es Salaam.
Taarifa ya kifo chake imethibitishwa na binti yake Dorah Songambele...