Matokeo:
Singida Big Stars
Goli: Mossi Ndumumwe 38
Simba SC
Goli: Anicet Oura 07
Goli: Elie Mpanzu 85
📍 Uwanja wa Airtel, Singida
Baada ya ushindi huo Simba kupitia ukurasa wao wa Instagram wameandika "Tumekula ndugu wa ile famili", ambapo timu hiyo imefikisha alama 27 katika michezo 12...
Uwanja wa Singida Black Stars ambao unazinduliwa leo na mechi ya kirafiki kati ya Singida BS dhidi ya Yanga SC
Leo, Machi 24, 2025, Singida Black Stars inazindua rasmi uwanja wao mpya uliopo Mtipa, Singida. Uwanja huu wa kisasa wenye uwezo wa kuchukua mashabiki 5,000-7,000 umejengwa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.