Rais William Ruto ameahidi kutoa shilingi milioni 30 kwa kanisa la AIC Kasina, lililoko Mwingi Central, Kaunti ya Kitui, wakati wa ibada ya Jumapili, Oktoba 25, 2026.
Ahadi hiyo imeibua mjadala kuhusu michango mikubwa inayotolewa na viongozi kwa taasisi za kidini wakati Wakenya wengi...