mwanzo mpya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwaka 2026 katika numerolojia: Mwanzo mpya na nyota ya matumaini

    Katika numerolojia namba ndiyo siri na nguvu itawalayo maisha kama nilivyowahi kuandika juu ya mwaka 2025 ni njia ile ile ninayoitumia kuhesabu mwaka wa 2026: 2 + 0 + 2 + 6 = 10, na kisha jumlisha tena: 1 + 0 = 1. (Kwa sababu lengo ni kupata namba ukiwa katika dijiti moja "single digit") Kwa...
  2. Baraza la Mawaziri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limenifurahisha sana - Huu ni mwanzo mpya na maendeleo Kedekede

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezindua Baraza jipya la Mawaziri ambalo limepokelewa kwa matumaini makubwa na wadau wengi, likionekana kama mwanzo mpya wenye ahadi ya maendeleo Kedekede. Rais alitangaza Wizara 27, Mawaziri 27, na Naibu Mawaziri 29 mnamo...
  3. Ukitaka Kuwa Mjanja Maishani, Haya Ndio Mambo 14 Ambayo Watulivu Huwaza Usiku na Kuyafanyia Kazi Wakiamka

    Maisha haya hayana ramani. Hakuna aliyewahi kuyaelewa kwa ukamilifu. Kadri tunavyoishi, ndivyo tunavyogundua kuwa yale tunayoyachukulia kuwa kweli—mara nyingi si kweli kabisa. Ni kana kwamba maisha yana kauli yao ya chinichini: “Utakapodhani umeelewa, ndipo tunapokudanganya.” Katika makala hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…