Wananchi wa Kijiji cha Luponde wamemshukuru Mbunge wa Jimbo la Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika, kwa kuchukua hatua za kufanikisha upatikanaji wa maji safi katika Kijiji hicho kwa kuwapatia tenki la Maji lenye Ujazo wa Lita 10,000, huku mmoja wa Wananchi, Castory Mlelwa akisema "tangia nizaliwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.