Wakuu,
Mwimbaji wa Afrika Kusini, Tyla, amewashinda Davido, Burna Boy, Ayra Starr na Eddy Kenzo na kushinda tuzo ya Best African Music Performance katika Tuzo za GRAMMY za 68.
Wimbo wa Tyla, “Push To Start”, ulikuwa umeingia kwenye kipengele hicho sambamba na “Love” wa Burna Boy, “With You” wa...