mwanamke mwenye mtoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Mzee tunaemheshimu karopoka matusi mazito kisa mwanae anataka kuoa mwanamke mwenye mtoto

    Mzee tumekuwa tukimuheshimu sana lakini katika siku zote leo ameharibu sana cv yake. Mtoto wake wa kiume miaka kama 28 kaenda kumtembelea kwa lengo la kumpa habari njema anataka kuoa Katika mazungumzo ya kumfafanua zaidi mwanamke, umri wake ni miaka 25, ana mtoto moja mdogo aliempata akiwa 23...
  2. Natafuta Ajira

    Aina za single mother

    1. Single mother mjane. Baba mtoto amekufa. Hajatalakiana nae, hajakimbia, isipokua amekufa. Huyu mwanamke hajachagua kuwa single mother, maisha yamemlazimu. Kuna heshima jinsi anavyoubeba huo mzigo. Anapambana vita ambayo hajaianzisha na bado anailinda heshima yake. Huyu ndie single mother...
  3. Loading failed

    Kuoa mwanamke mwenye mtoto ni kujiandaa kuoa mke wa mtu

    Ndugu zangu. Tuendelee kukumbushana kwamba kuoa mwanamke mwenye mtoto ( Single maza) ni kujiandaa kuoa mke wa mtu na siyo vinginevyo. Hapa duniani mpaka mwanamke aamue kuzaa na wewe maana yake anakupenda na anataka awe na kumbukumbu yako pindi utakapotoweka machoni pake kwa namna yeyote iwe...
  4. Davidmmarista

    Katika hali gani unaweza kulazimika kuoa mwanamke mwenye mtoto?

    Je unaweza kuoa mwanamke mwenye mtoto.
  5. GENTAMYCINE

    Nikioa mwanamke mwenye mtoto nitamlea mtoto wake kwa sababu zifuatazo tu!

    1. Baba yake Kafa 2. Alimtelekeza tokea akiwa Tumboni 3. Baba yake akitaka Kumuua 4. Baba yake kasema haikuwa Mimba yake 5. Ndugu za Baba yake wamemkataa Ila nje ya sababu hizi au kama huyo Mwanamke nitakayemuoa hatonipa hizi sababu Tano ( 5 ) tajwa hapa juu basi atafute kwa kumpeleka huyo...
  6. GAZETI

    Changamoto gani utakutana nazo kwa kuoa au kuishi na Mwanamke mwenye mtoto?

    Habari wakuu, Hapa nakusudia mwanamke mwenye mtoto ambaye si wako, Mtoto ambaye kwa kiasi kikubwa bado anahitaji ukaribu na mama yake. Nimeshuhudia ndoa ya Jirani yangu ikiyumba baada ya mtoto wa miaka takribani miwili na nusu au mitatu Kuletwa nyumbani na mkewe kwani wamekaa wastani wa miezi...
Back
Top Bottom