Mwami (pronounced [mwɑmi, mŋɑmi]) is an honorific title common in parts of Central and East Africa. The title means chief or tribal chief in several Bantu languages. It was historically used by kings in several African nations, and is still used for traditional kings or rulers of regions within several African nation-states.
Mwamba mambo yanambadilikia katika kiwango hawezi amini. Taarifa za uhakika kabisa amemkimbia Clayton Chiponda pale mwisho wa Reli. Hebu fikiria hilo anguko, yaani Ruyagwa anasepa kisa Baba Levo!
Hawa ni wagombea wa kiti Cha ubunge waliopitishwa na vyama vyao kugombea kuwakilisha Jimbo la kigoma mjini katika uchaguzi mkuu ujao wa uraisi,ubunge na udiwani utakao fanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
Kwa ufatiliaji wako wa siasa unaona nani anafaa kuliwakilisha Jimbo la Kigoma mjini katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.