mwalimu wa madrasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mhaya

    Dar: Mwalimu wa Madrasa ahukumiwa kwenda Jela Miaka 20 kwa kosa la kumwambia Mwanafunzi amnyonye sehemu za siri

    Mahakama ya Wilaya Temeke Mkoa wa Dar es Salaam, Mei 29, 2025 imetoa hukumu ya kifungo cha miaka 20 jela kwa mtuhumiwa Dotto Adinani Makando mwenye umri wa Miaka 34, Mkazi wa Yombo Kilakala baada ya kupatikana na hatia ya kosa la shambulio la aibu ambapo alimfanyia mwanafunzi wake wa kiume...
  2. Waufukweni

    Mwalimu wa Madrasa apandishwa Kizimbani kwa tuhuma za kuwachapa fimbo (Ukatili) wanafunzi wa madrasa

    Mwalimu wa Madrasa, Musa Bashiru Musa (24) ambaye kipande cha picha jongefu (video) kilisambaa katika mitandao ya kijamii kikimuonyesha akiwapiga fimbo za mikononi wanafunzi wake, amepandishwa kizimbani kujibu tuhuma zake. Musa ambaye ni mkazi wa Mbagala Kiburugwa, amefikishwa katika Mahakama...
Back
Top Bottom