mwaka huu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. HASZU KAMA HAPPY BIRTHDAY YAKO YA MWAKA HUU BADO NATAKA NIGHARAMIE KILA KITU

    Nawasilisha Kama shughuli au jambo lako la happy birthday kwa mwaka huu bado halijapita naomba nigharamie shughuli nzima, kuanzia ukumbi au kama utaka kwenda beach, vinywaji hata kama unataka kufunga rusha roho au kigoma mm nipo tayari kugharamia. Nisiengee sana wasije sema Sina Hela watu wa...
  2. Idadi ya Wapiga Kura inavyoshuka licha ya kuongezeka kwa waliojiandikisha – Taifa lenye hofu, hasira na kukata tamaa

    Wakati Tanzania ikiendelea kujigamba kuwa nchi ya kidemokrasia ya vyama vingi, takwimu haziungi mkono propaganda hiyo. Hii hapa ni grafu inayoonesha wazi takwimu kutoka mwaka 1995 hadi 2020 kuhusu: 1.Idadi ya watu (population) 2.Idadi ya waliojiandikisha kupiga kura 3.Idadi ya waliopiga kura...
  3. R

    Mama ana uchungu wa kuzaa mwaka huu. (2025-1964=61)!

    Salaam, Shalom! Naongea lugha ya kiroho. Wanaume wote wana tumbo la uzazi kama ilivyo kwa wanawake na ndani yao kuna watoto wa kiume na kike, mfumo wa uzazi wa Mwanaume umetunzwa ndani ya mwanamke, amekaimishwa kutunza na kuzaa kiumbe. Anyway tuendelee... Tanzania ni kiumbe, kina macho...
  4. Mwaka huu hakutakuwa na Kizimkazi Festivals hadi mwakani july 19-26 panapo Majaliwa

    Wakuu habari ndiyo ni kwamba kama ilivyozoeleka tangu Mhe. Rais Samia aingie madarakani 2021 serikali ilianzisha Tamasha la Kizimkazi kwa lengo la kuenzi tamaduni za asili,uzinduzi wa miradi ya Serikali huko visiwani pamoja shughuli mbalimbali za kijamii. Tamasha hilo ambalo limekuwa maarufu...
  5. K

    Nini Kimesababisha Watia nia ya Ubunge CCM kushuka kwa idadi kutoka 10,000 za Mwaka 2020 hadi 4,000 za mwaka huu?

    Walijitokeza 10,367 nafasi za majimbo 264, CCM mwaka 2020. Mwaka huu wamefika 4,109 pekee. Nini kimejili? Sababu zinaweza kuwa; 1. Kukosekana mvuto kwa CCM, 2. Rushwa kutamalaki, 3. Kanuni za kura za maoni kutokuwa rafiki kwa Watia nia, 4. Na kadhalika.
  6. Vodacom mwaka huu nimeamua kublock message zenu zote za promotion na kuzireport kama spam

    Mnauza taarifa zangu kwenye makampuni yenu ya matangazo halafu niendelee kuwachekea natembeza block tu na kureport kama spam. Upumbavu sitakiii..
  7. Wagombea wa mwaka huu wanatuonaje Watanzania? Mbinu wanazotumia kucheza na akili zetu ni za kizamani sana!

    Heshima sana wanajamvi. Tumeshuhudia vituko vya watia nia majimboni wakijaribu kucheza na akili za wananchi kwa kutumia siasa na hadaa za kijinga na utoto mwingi. Innocent Bachungwa kaliacha V8 300 Land Cruiser nyumbani kachukua Corolla chakavu kwenda kuchukua form ya UBUNGE. Pengine anataka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…