Zanzibar kuna raisi, Tanganyika raisi ni nani? Wapeni Tanganyika serikali yao mambo bado mabichi Hali ikiwa mbaya zaidi hatutaweza kuzuia, kuziba ufa ni Bora kuliko kujenga ukuta.
Kama tumeona Kuna haja ya kuwa na waziri wa muungano tena makosa yanarudi kulekule ni mzanzibar hapo kwa kweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.