Wapo wanaoamini kuwa Mungu yupo – Muumba wa kila kitu, mwenye uwezo wa kubadilisha chochote.
Lakini wapo pia wanaoamini hakuna Mungu, na maisha haya ni matokeo ya mabadiliko ya asili, bahati, na akili ya binadamu.
Swali linakuja:
Kama Mungu yupo kweli, kwa nini kuna mateso, vita, magonjwa...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri.
Kama MADA inavyojieleza, Mungu hayupo ndio maana taabu na kila aina ya uchafu vimetamalaki hapa duniani.
Mungu hayupo, Nimemaliza.
Its simple,
Wewe anakuuliza hivyo kama njia ya kejeli kwa maana anajua hauna uthibitisho wa kumuona
ila na yeye anasahau kuwa yeye mwenyewe Hana uhakika kama kweli hayupo kwa maana labda kweli yupo ila basi tu yeye ndio hajawahi kumuona🤣
Kuna watu huwa wanataka kujipambanua kuwa ni waumini wa dhana hii ya MUNGU HAYUPO.
Lakini kinachosikitisha upeo wao mdogo sana. Yaani waliamua kudandia hoja ambayo hawana uwezo nayo. Kifalsafa ni wepesi na weupe sana.
Utamsikia anasema tu "THIBITISHA KUWA MUNGU YUPO" Hana hoja nyingine ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.