Kiliba: Tumtii na kumuombea Rais Samia
Akizungumza na waandishi wa habari leo Desemba 14, 2025, Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba, amewasihi Watanzania kumuunga mkono Rais Samia, pamoja na viongozi wengine wa nchi, akisisitiza kuwa ni...