Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Abubakar Zubeir amesema Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) litaendelea kusimamia maslahi ya Taifa, huku akiwataka Watanzania kuendeleza uzalendo na kulinda amani ya nchi.
Mufti Zubeir ametoa kauli hiyo leo Oktoba 10, 2025 wakati wa ziara yake ya kikazi...