(Emancipate from mental Slavery)
Watanzania kwa ujumla wetu bado tumelala usingizi mzito tukiota ndoto za jinamizi kuhusu mustakabali wa Taifa letu.
Mambo nayoyasoma na kuyasikia yakitoka vinywani na maandishi kusema kweli ni aibu kwa taifa ambalo waasisi wetu walitujengea misingi bora ya...