Salaam Wakuu,
Nimekutana na maandiko yanadai kuwa Lissu akiwa kwenye mkutano Singida alisema mtoto wa Rais Samia aitwaye Abdul aliwahi kumpelekea rushwa akamfukuza.
Je, kauli hii ni kweli?
Tunaomba mtusaidie kutafuta uhakika
---
Video 1: Lissu akiwa Mkutanoni Singida akielezea kufuatwa na...
Rais Museveni wa Uganda amekutana na ujumbe wa serikali ya Tanzania ambao umeongozwa na mtoto wa wa kiume wa Rais Samia.
Uzuri wa taarifa hii imethibitishwa rasmi na ofisi ya Museveni mwenyewe kupitia akaunti ya rais.
Swali- mtoto huyu wa rais wetu, ana cheo gani serikalini?
Kama taarifa hii...