mtoto wa rais samia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Asenga aibua ishu ya mtoto wa Rais Samia kupewa unaibu waziri - Sakata la Abdul - ''NONGWA TU''

    https://youtu.be/A9g01IWawAs?si=MpgoXABf4N-5Efu-
  2. GE2025 Wanu: Kuna watu wanasema eti mimi mtoto wa Ikulu sizijuwi shida, niwaambie nazijuwa shida

    Wanu mbona kama anajitetea sana! Ety anazijuwa shida maana urais wenyewe ni wameupata jana tu =============== Mgombea Ubunge wa Jimbo la Makunduchi kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Wanu Hafidh Ameir amesema yeye anazifahamu changamoto zinazowakabili wananchi kwani kuwa mtoto wa...
  3. Polepole: Timu za watu wanaotukana mtandaoni na kuchapisha matisheti mtoto wa Rais Samia bwana Abdul ndiye anayehusika

    Timu za watu wanaotukana mtandaoni na kuchapisha matisheti mtoto wa Rais Samia bwana Abduli ndiye anayehusika na mtu atakayebisha nitawatajia kwa majina, ofisi walipo, vilipo viwanda vya kuchapisha tisheti. Shughuli za kamapeni zinazoendelea CCM zinasimamiwa na familia na mtoto wa rais
  4. Ukimgusa Abduli, umemgusa mama

    Fanya vyote kosoa, tukana ila usijaribu kumgusa kipenzi cha mama. Hata utani au mifano hataki 1.Lisu alimwandama Abduli ati alimpelekea furushi la pesa kama hongo, Sasa yupo Ukonga na kesi mbaya ya uhaini 2 Bon yai alithubutu kuropoka kilichomkuta, saiv amepoa mno 3. Gwajima akamtolea mfano...
  5. PreGE2025 Rais Samia aahidi Milioni 30, ukarabati wa Kanisa Geita

    Mtoto wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aitwaye Abdul Halim Hafidah Ameir ameahidi kutoa Tsh. Milioni 30 kwenye harambee iliyoandaliwa na Muhashamu Askofu Flaviani Katindi Kasala wa Jimbo Katoliki la Geita, kwa kushirikiana na Baba Paroko Padri Japheth Masalu wa Parokia ya Bikira Maria Msaada wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…