Mtoto kuzaliwa na korodani moja ni hali ambapo mtoto ana korodani moja tu iliyoshuka kwenye mfuko wa korodani (scrotum), wakati korodani nyingine inaweza kuwa haijashuka (undescended), haipo, au imeondolewa. Hali hii inajulikana pia kama monorchism.
Athari Za Kuzaliwa Na Korodani Moja:
Athari...
Hivi kunaweza kuwa na chembe chembe za ukweli kwa wale wajuzu wa mambo kuwa kuna watoto wanazaliwaga na hali fulani kuwa ili waishi nilazima mzazi mmoja afe , unakuta kipindi mtoto anazaliwa either baba au mama atafariki kwa namna yoyote ile. Najua inaweza kuwa storI ya kijiweni lakini embu...
Ni utamaduni wa waafrika wengi kuwa strict sana kwenye kulea damu zao ndio maana huwa wanaumia sana wakigundua watoto ni wa nje.
Mfano kwenye kabila letu (nisingependa kulitaja), naambiwa hapo zamani ilikuwa kaka akitembea na mke wa ndugu yake, haikuleta shida, cha muhimu kilikuwa damu iwe...
Habari za Muda Huu waungwana,
Kwa wale Mliowahi kupata Watoto, mkawakuza mpaka Wakakua na afya njema, Mlizingatia mambo yapi Pindi walipozaliwa?
Mimi niliwahi kupata mtoto, Bahati mbaya akafariki, Ninaomba kujuzwa wa wenye uzoefu ni mambo gani Muhimu kuzingatia.
Mambo baadhi ninayohutaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.