Jf doctor naomba ushauri, mimi na mke wangu tumepata mtoto ambaye kwa sasa umri wake ni miezi 2.
Mtoto huyu ana tatizo ambalo imekuwa ngumu kwetu kuelewa, ni kwamba akiwa ananyonya anatoa sauti kama vile kwikwi, hivyo bado ufahamu wetu kwenye tatizo hili hatuna.
Jf doctor naomba ushauri ndugu...