Kuna taarifa kuwa Wanafunzi 22 wa Kidato cha Sita wa Shule ya Sekondari ya Shinyanga maarufu kama Shybush, wamefukuzwa shule na kuzuiwa kufanya mtihani wa kidato cha sita unaotarajiwa kuanza mapema mwezi wa tano.
Taarifa zaidi zinadai kuwa sababu kubwa ni fujo iliyotokea shuleni hapo mwezi...
Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema Rais Samia Suluhu Hassan atalihutubia Bunge Alhamisi Aprili 22 2021 jioni
Hiyo itakuwa mara ya kwanza kwa Mama Samia kulihutubia Bunge tangu alipoapishwa kuwa Rais Machi 19 mwaka huu.
===
Rais Samia Suluhu Hassan atahutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
CAG mstaafu mh Uttoh amezitaka kamati za bunge za PAC na LAAC kuwa strategic zinapoenda kukagua taasisi za serikali badala ya kujiendea tu kimazoea.
Uttoh amesema ni vema bunge likatembelea taasisi zenye hati chafu na zile ambazo CAG ameshindwa kutoa hati ( disclaimer) au zile ambazo CAG...
Mwanafunzi wa darasa la tano katika shule ya msingi Shibutwa wilayani Mbogwe mkoani Geita, Ziada Masumbuko (15) ameuawa kwa kupigwa na kitu chenye ncha kali kichwani na kaka yake kwa kile kinachodaiwa ni baada ya kufanya vibaya katika mtihani wa majaribio.
Kamanda wa polisi mkoani Geita, Hendry...