Wakuu,
Wanasema Media ni 'Watchdog' ikimaanisha ni muhimili unaojitegemea ikiwa na majukumu ya kulinda maslahi ya umma kwa kuvumbua mabaya na kuyasemea yale ambayo serikali inafanya.
Kwa kauli ya huyu mtangazaji ikifuatuwa na viitikio vya wenzake baaaas Media zetu zimejaa watangazaji uchwara...