mtandao kuzimwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sintofahamu ya Mtandao kuzimwa Uganda: Kauli za Waziri zazua Mjadala mkubwa

    Katika hali iliyoshangaza wengi, Waziri wa Vijana nchini Uganda ametoa ufafanuzi wa kutatanisha kuhusu sababu za kukatika kwa huduma ya mtandao wakati huu wa mchakato wa uchaguzi mkuu nchini humo. Soma pia: Uganda yatangaza kuzima Intaneti kuanzia leo Januari 13 ili kupisha Uchaguzi Mkuu...
  2. Kuna Mwenye swali kwa dada wa taifa Mange Kimambi? Je wajua mtandao utazimwa kuanzia sasa umejipangaje kukabiliana na hali hiyo?

    Naitwa Tesha kwa asilimia mia moja nipo na Mange katika ukombozi wa Taifa hili lakini tutambue kuwa mitandao ni silaha kubwa sana kuhakikisha tunatoka kwa namba kubwa. ushauri wangu hakikisha una VPN za aina zote ingia Play store na App Store pakua zote kikubwa tusipoteane siku hiyo. Mwenye...
  3. Watanzania wamefungiwa Internet sababu ya Uchaguzi

    Uchunguzi wangu wa kina umebaini kuwa Wabongo wamefungiwa internet. Yaani hata Whatsapp na JF na twitter na facebook hawawezi kuingia bila kutumia VPN. Welcome to North Korea republic of Tanzania. Mlishangilia wakati upinzani ulifutiliwa mbali. Kuleni ujeuri wenu. Hapa Kenya internet haijawahi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…