Msigwa ameulizwa kuhusu response ya serikali kuhusu maandamano yanayopamgwa kufanyika Disemba 9, ambapo amesema:
"Kuhusu maandamano ya Tisa Disemba, tunawasihi vijana wajiepushe na kufuata mkumbo kwa kujihusisha na vitendo vya kuharibu amani.
"Tumejipamga kuhakikisha usalama wa raia na mali...
Narudia tena. Nchi yetu ina tatizo la watu wasio na uwezo, wenye elimu ya kuunga unga kupewa madaraka makubwa ambayo hawastahili.
Gerson Msigwa hapaswi hata kuwa Msemaji wa Serikali, sio tu Katibu Mkuu.
Gerson Msigwa anapaswa kuwa propaganda machinery ya Chama cha siasa maana hana taaluma na...
Kidumuuu chama!!!
Nichukue fursa hii kuwapongeza makada wote ndani ya chama Cha kijani waliofanya usajili mahiri wa kuhakikisha wanamsajili ndugu Msigwa na kusaidia kumpa nguvu na umaarufu ndugu Lissu.
Ushindi wa TUNDU Lissu una mchango mkubwa Toka Kwa kada huyu mwenye mapenzi ya dhati...
Ndugu zangu Watanzania,
Huu ndio Ujumbe wa Mtumishi wa Mungu Mchungaji Peter Msigwa alio uandika kupitia katika ukurasa wake wa Twitter
Je, anamaanisha nini au kutuma ujumbe gani na kumlenga nani.
Kwa wasio elewa kizungu nawasaidia kuwafafanulia. anasema kuwa Kuanguka kwa Jani kavu ni...
Katibu mkuu wa Wizara ya Sanaa amewataka Wasanii nchini kufanya mambo makubwa kama Filamu ya Royal Tour inavyoitangaza Tanzania duniani Kote
Aidha Msigwa amesema wimbo wa Diamond uitwao Kamasova unafanya vizuri sana duniani kote
Msigwa amewataka Wasanii nchini kuwaiga Diamond na Kanumba katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.