Endapo Simba itamsajiri kipre Jr na Ndala kutoka Azam itapendeza sana. Kumbuka Kipre Jr ni winga ya kushoto huku Sakho nae akikimbiza winga ya kulia itakuwa balaa.
Ndala yeye anakaa pale katikati akiongeza nguvu kwa Mzamiru au Kanoute. Simba itakuwa untouchable. Viongozi najua mko humu JF...