Usipotafakari juu ya kifo unaweza kuwatendea wenzio vyovyote utakavyo. Ukawateka, ukawaua, ukawazika kama mizoga, bila kujali maumivu yao wala hisia zao
Kama vile utaishi milele.
Lakini ukitafakari juu ya kifo, na ukajua kwamba siku moja utalala mauti, utawapenda wenzio, utawalinda...