1. Nani aliyekuambia kuwa Simba SC ikitangaza Kufungwa Mechi zake za Pre Season huko Misri ni vibaya kwa Mashabiki?
2. Kama umesema Watu wa Kitengo cha Habari Simba SC mmekubaliana msitoe Taarifa yoyote ya Matokeo ya Mechi za Pre Season huko Misri katika Page ya Simba SC ili kutowashtua...
"Ukitaka kujua kuwa Yanga SC ilifika Fainali ya CAFCC kwa kupita katika Migongo ya Maiti kazitafute zile Timu zote alizocheza nazo kisha njoo uniambie kama hata kwa sasa zinafanya vizuri katika Ligi Kuu za Kwao au hata zimeweza tena kuwepo CAFCC kwa Msimu huu. Simba SC tuna haki ya Kujivunia...
“Ahmed Ally amenikosea sana, anatumia umaarufu wake kunichafua, Mimi siyo kiongozi Wa kwanza kushabikia Yanga”
Mh Said Mtanda, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kupitia kipindi cha michezo cha Crown Sports ya Crown FM
Una maoni gani?
Yaani kama kuna Mtu ambaye namuona ni Nuksi ndani ya Simba SC yetu na Anatuponza mno Kimatokeo kutokana na Kauli zake na Uyanga wake aliojifichia kwa kusema kuwa Yeye tokea zamani ni mwana Simba SC basi ni huyu Msemaji wa Simba SC Ahmed Ali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.