Upweke hauponywi na wengine. Unaweza kuolewa na ukabaki na upweke. Unaweza kuwa katikati ya watu na ukazidi kuwa mpweke. Kwa kawaida mtu hujitenga na wengine anapojitenga yeye mwenyewe.
Kuna msemo huu "If you are lonely when you're alone, you are in bad company". Kuishi peke yako hakukufanyi...