Baada ya Chama cha Wananchi (CUF), kuitisha mkutano wa waandishi wa habari katika ofisi za makao makuu Buguruni jijini Dar es Salaam Februari 17, umeibuka mzozo kati ya viongozi na makada walioshitaki kwa msajili, hali iliyowafanya polisi kuvamia mkutano huo kabla haujaanza.
Chanzo cha...
Ni hapa hapa unganeni na Chadema kudai Reforms.
Mnakumbuka kada mmoja wa CCM aliandika barua ya kulalamika kwamba Samia Hana sifa ya kugombea akapuuzwa na msajili Hadi akafungua kesi mahakamani?
Mpaka sasa hakuna majibu ya kesi hiyo na Kuna dalili kwamba ikapigwa chini. Sasa huu moto wa mpina...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara, John Heche, ametangaza kuwa chama hicho kitafungua kesi kupinga uamuzi wa Msajili wa Vyama vya Siasa, akisema ni kinyume na sheria na demokrasia. Ametoa kauli hiyo leo Juni 4, 2025, Jijini Dar es Salaam alipowasilisha maazimio ya Kamati Kuu ya chama...
Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu ameeleza kuwa yanayotokea sasa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kilitokea kwao pia mwaka 2019, wakati Msajili wa Vyama vya siasa alipokataa Uteuzi wa Maalim Seif na viongozi wengine waliokuwa wameteuliwa na Halmashauri...
Mtego ulio tengenezwa ni kwamba CHADEMA wakiitisha tu mkutano wa Balaza kuu basi wamiesha, yaani hao viongozi wa Balaza kuu la CHADEMA watapitishiwa pesa za kutosha na either wafanye yafuatayo;
1. Kuto wapitisha kabisa viongozi hao wapya wa secretaroeti.
2. Kuleta fujo ya hatari sana ukumbini...
Msajili wa vyama vya siasa, Francis Mutungi ameelekezwa kuifuta Chadema haraka iwezekanavyo, tunayo taarifa kwamba amepokea maagizo hayo mara tu baada ya kukamatwa Tundu Lissu.
Cha kushangaza bado anagwaya, badala yake anampangishia nyumba Mshirika wake Mchome ili aendelee kusumbua Chadema...
Msameheni msajili wa vyama vya siasa anatetea cheo chake na usalama wake nchi haina utawala wa kisheria hii,
Watu watamlaumu msajili wa vyama vya siasa bure kumbe sio mapenzi yake wala kosa lake, lakini pia kufutwa kwa chama kikubwa Tanzania ni ngumu na inaweza kuchochea mabadiliko zaidi...
Msajili wa Vyama vya siasa nchini Tanzania kulingana na Mamlaka aliyonayo chini ya Kifungu cha 18(6) cha sheria ya Vyama vya siasa, ametangaza leo Jumanne Mei 27, 2025 kusitisha kutoa ruzuku kwa Chama Cha Demokrasia na maendeleo Chadema hadi pale watakapotekeleza maelekezo ya Ofisi ya Msajili...
Polisi na Msajili wanashindana sasa kwenye kiki-uchawa kupitia Chadema. Imefika wakati viongozi wanaamka asubuhi na kufikiria wafanye nini kwa Chadema ili matukio yao yaongelewe kwenye vyombo vya habari.
Kiasi kwamba sasa hawa wakienda kumshika mtu ili waongeze chumvi Polisi wanawapiga ili tu...
CHADEMA kimetoa majibu kwa Msajili wa Vyama vya Siasa kufuatia malalamiko ya mwanachama wake, Lembrus K. Mchome, aliyedai kuwa kikao cha Baraza Kuu Taifa cha Januari 22, 2025 kilikuwa batili kwa kukiuka Katiba ya chama.
Katika majibu yao, CHADEMA wameeleza kuwa barua ya Mchome ilikuwa ni rufaa...
Wakati umefika, kwa msajili wetu wa vyama vya kisiasa kutuo orodha ya vyama ambavyo vitashiriki uchaguzi, ili wagombea wa vyama hivyo waanze kujipanga mapema, na vile ambavyo vitakuwa havijakidhi vigezo vika kaa pembeni ili kupisha vyama shiriki, ambavyo vitakuwa vikiwaeleza wa tanzania...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) leo, Jumanne Machi 18.2025 kimemueleza Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusiana na msimamo wake wa 'No Reform, No Election'
Akizungumza na wanahabari nje ya viunga vya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa muda mfupi baada ya kutoka kwenye ofisi hizo...
Ofisi ya msajili wa Vyama vya Siasa nchini inadaiwa kuongeza gharama za usajili kwa asilimia 9,900, gazeti la JAMHURI limeelezwa.
Awali, gharama za usajili zilikuwa ni Sh 25,000 kwa usajili wa muda na Sh 50,000 tu kwa usajili wa kudumu, lakini sasa taarifa zinadai kuwa gharama wa muda...
Tanzania inatimiza miaka 32 tangu kurejeshwa rasmi kwa siasa za vyama vya vingi nchini.
Julai, 1992 Tanzania iliweka wazi kurejesha mfumo wa siasa za vyama vingi, ambapo mwaka 1995 ulifanyika Uchaguzi Mkuu wa kwanza ulioshirikisha vyama vingi vya siasa.
Mfumo wa vyama vingi, umesaidia kuwaleta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.